Radio
06:00 - 06:29
19:30 - 19:59
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga adai utawala mpya wa rais Ruto unawalenga baadhi ya maafisa kwenye utawala wa zamani.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Kundi la kigaidi la al Shabab chini Somalia laanza kujitokeza tena kwa njia ya mashambulizi wakati wa kipindi cha mpito serikalini.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.