Radio
06:00 - 06:29
Tanzania, Kenya zazindua mfumo wa biashara ya kidijitali "ili kupunguza gharama"
Wadau wa sekta za mawasiliano waTanzania na Kenya wamezindua mfumo wa kufanya Biashara Kwa njia ya kidigital unaolenga kuondoa usumbufu, urasimu,na gharama zisizo za lazima, ukisimamiwa na mashirika ya Posta ya nchi Tanzania na Kenya.
19:30 - 20:29
Wanahabari Afrika mashariki wanazungumzia dhulma dhidi ya wanahabari kwa kauli mbiu ya 2022 "Kulinda Vyombo Vya Habari Kulinda Demokrasia"
Ghasia na vitisho dhidi ya waandishi wa habari vimekuwa kero ya muda mrefu barani Afrika, Ulaya, na kwingineko huku wanahabari wakitaka serikali katika maeneo yao kuimarisha sera mbadala za kumlinda mwanahabari na kusitisha mauaji holela ya wanahabari wanapokuwa katika kazi zao