Radio
06:00 - 06:30
Hali ilivyo nchini Qatar saa 48 kabla ya kipute cha Kombe la Dunia kuanza
Wageni, wachezaji na mashabiki wa mpira wa miguu, wanaendelea kuwasili nchini Qatar, tayari kwa michuaao ya Kombe la Dunia mwaka 2022, ambayo itaanza rasmi kesho kutwa, na kwendelea hadi Desemba 18, wakati fainali itafanyika kwenye uwanja wa Lusail.
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusu mkutano wa kimazingira wa COP27N unaoendelea nchini Misri.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.