Radio
16:30 - 17:00
Kombe la dunia: Mwakilishi mwingine wa Afrika, Cameroon yapigwa 1-0 na Uswiss
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Raila Odinga adai kwamba serikali ina nia ya kuondoa makamishna wanne wa tume ya uchaguzi walioyotofautiana na matokeo ya uchaguzi wa Kenya
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Ufaransa, Uingereza, Ujerumani wanaondoa wanajeshi wake Mali. Je mamluki wa Russia wataimarisha usalama Sahel?
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.