Wakati huo huo, hisia mseto zimeendelea kutolewa kufuatia hatua ya utawala wa Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo kumfukuza balozi wa Rwanda nchini humo, huku hali ya usalama ikiendelea kuzorota kwenye mpaka wa DRC na Rwanda.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Kuibuka tena kwa kundi la M23 limeyumbisha uhusiano wa kikanda katika Afrika ya kati huku Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ikimshutumu jirani yake Rwanda kwa kuwaunga mkono wanamgambo hao waasi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi. Idadi ya watanzania ni 61.74.