Radio
19:30 - 20:00
Tanzania: Rais Samia awataka mawaziri wapya aliowateua kuzingatia majukumu yao ipasavyo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka mawaziri ambao anawateua kutekeleza majukumu yao ipasavyo wakizingatia mambo makubwa matatu ambayo ni kuheshimu katiba ya nchi, kufahamu mipaka yao nakutunza siri za Serikali.