Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Zaidi ya watu 12 wameuawa kwenye kijiji cha masome nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Hali ya ukosefu wa usalama mashariki mwa DRC inazidi kuzorota ambapo zaidi ya watu 12 wameuawa huko Masome eneo linalopakana na mji wa Komanda pamoja na mkoa wa Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC)
19:30 - 20:29
Jioni: Live Talk kutokana na maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike iliyoadhimishwa mwanzoni mwa wiki.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Je Afrika Mashariki yaweza kutumia rasilimali zake kutatua matatizo yake?
Ziara ya rais wa Kenya, William Ruto yaleta mjadala kama mataifa ya Afrika Mashariki yanaweza kutumia rasilimali zake za nishati kutatua matatizo yake bila kutegemea mataifa ya nje. Ebola bado ni tishio licha ya juhudi za Uganda, na WHO kutafuta chanjo ya aina mpya ya Ebola ya Uganda.