Ziara ya rais wa Kenya, William Ruto yaleta mjadala kama mataifa ya Afrika Mashariki yanaweza kutumia rasilimali zake za nishati kutatua matatizo yake bila kutegemea mataifa ya nje. Ebola bado ni tishio licha ya juhudi za Uganda, na WHO kutafuta chanjo ya aina mpya ya Ebola ya Uganda.