Radio
06:00 - 06:29
Wakimbizi wa ndani wa DRC walilia serikali kuwaokoa kutoka changamoto zinazowakabili
Wakazi waliokimbia vijiji vyao kutoka mji wa Irumu, wilaya ya Djugu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambao wanaishi katika kambi za muda, wanaiomba serikali y kurejesha amani na usalama kwenye vijiji vyao kwa haraka, ili kupunguza changamoto zinazoendelea kuongezeka kila uchao.
16:30 - 16:59
Vijana nchini Tanzania wanaitaka serikali kubuni njia mbadala ya kunusuru ongezeko la bei ya chakula
Ongezeko la bei ya chakula linapelekea jamii hususani vijana nchini Tanzania kuiomba serikali nchini mwao kuweka mipango yenye tija kwa vijana kujikwamua na ongezeko la bei ya chakula ambacho ndio msingi wa uhai wa maisha
21:00 - 21:29