Radio
21:00 - 21:29
Ripoti ya IMF kuhusu uchumi wa dunia na watu mashuhuri kuondolewa mashitaka ya ufisadi nchini Kenya
Ripoti ya IMF ya mapema wiki hii imesema uchumi wa dunia utadorora mwaka huu na kuwa mbaya zaidi mwakani. Mchambuzi wa masuala ya uchumi ashauri serikali za Afrika mashariki kuchukua hatua mapema kukabiliana na athari za kudorora kwa uchumi wa dunia.