Radio
16:30 - 16:59
Dunia inaadhimisha siku ya mtoto wa kike ni miaka kumi tangu kuanzishwa kwake zikiimarishwa sera na utekelezaji kumlinda mtoto wa kike
Mwanaharakati wa masuala ya mtoto wa kike Fadhila Hamisi kutoka Mombasa huko Kenya anawahamasisha wasichana kujitokeza na kutumia fursa za kupata elimu kwa ajili ya manufaa katika maisha yao baadae
19:30 - 19:59
Milionea mfanyabiashara wa Almasi ameshinda uchaguzi wa bunge nchini Lesotho na ametangaza kuongoza serikali ya muungano ya vyama vitatu
Milionea mfanyabiashara wa madini ya Almasi ambaye alishinda uchaguzi wa bunge nchini Lesotho wiki iliyopita leo Jumanne ametangaza kuwa ataongoza serikali ya muungano ya vyama vitatu