Radio
Jeshi la Congo lashutumiwa na HRW kushirikiana na waasi
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, HRW, pamoja na kundi la uasi la M23 wamedai kwamba jeshi la DRC limekuwa likiunga mkono kundi hatari la waasi wa Kihutu kutoka Rwanda, kwenye ghasia zinazoendelea mashariki mwa taifa hilo.
VOA Express: Athari za kutafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Jioni: Vyama vikuu vya kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vyaomba mataifa jirani kushirikiana katika kurejesha amani.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.