Radio
06:00 - 06:29
Afrika Kusini kurekebisha mkakati wake wa kupambana na ufisadi
Afrika Kusini itarekebisha mkakati wake wa kupambana na ufisadi na kuhakikisha uhuru wa waendesha mashtaka, Rais Cyril Ramaphosa alisema Jumapili, akijibu mapendekezo kutoka kwenye uchunguzi wa serikali kuhusu madai ya ufisadi chini ya mtangulizi wake.
19:30 - 20:00
Mamlaka inayofuatilia idara ya polisi nchini Kenya IPOA, imeanzisha uchunguzi kufuatia kuuwawa kwa mwanahabari wa Pakistan Arshad Sharif.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Undani imeangazia makubaliano ya biashara kati ya DRC na Tanzania, na pendekezo la tume huru ya kuchunguza mauaji ya kiholela Kenya
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.