Wanajeshi wanne wa jeshi la ulinzi pia walijeruhiwa katika shambulio la Jumamosi kwenye barabara inayounganisha Fada N'Gourma na Natiaboani, moja ya vyanzo hivyo vimesema