Radio
Biden asema chaguo la Sunak kama Waziri Mkuu mpya wa Uingereza ni 'la msingi'
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu alitaja chaguo la Rishi Sunak, waziri wa zamani wa fedha, kama waziri mkuu wa kwanza wa Uingereza asiye mzungu, kuwa "la msingi" huku White House ikisema Biden angewasiliana na kiongozi huyo mpya na kumpongeza.
Wanawake wanaotapeliwa katika mapenzi wapewa ushauri
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Wachambuzi wa masuala ya usalama nchini Kenya wazungumzia uchunguzi unaoendelea kutokana na kifo cha mwanahabari wa Pakistan nchini humo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.