Radio
06:00 - 06:29
16:30 - 16:59
Vijana wanatakiwa kufikiria njia mbadala za kujiajiri wenyewe badala ya kusubiri ajira kutoka serikalini au sekta binafsi
Kamisaa wa Sensa Kitaifa huko Tanzania Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka serikalini au sekta binafsi
19:30 - 19:59
Jioni: Zaidi ya vijana 9000 kutoka kote duniani wanakutana Kigali, Rwanda kujadili changamoto zinazowakumba
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Je, namna gani nchi za jumuiya ya Afrika mashariki zinaweza kushirikiana kutumia vyema raslimali zake?
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.