Radio
19:30 - 19:59
Rais wa Kenya Dkt. William Ruto na mwenzake wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa wamekubaliana kuondoa visa kwa wasafiri baina ya mataifa yao
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:30
Matokeo zaidi yanaendelea kutoka katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani unaofuatiliwa kujua nani atafanikiwa kudhibiti bunge
Udhibiti wa baraza la Seneti na baraza la wawakilishi nchini Marekani bado haujakamilika wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kutoka uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika Novemba 8