Radio
Mradi wa kimataifa wapania kuwasaidia wafugaji Kenya kuhimidi hali ya ukame
Jamii za wafugaji nchini Kenya, hususan Kaskazini mwa nchi hiyo, zinafaidika kutokana na mradi mkubwa wa kimataifa wa kusafisha gesi ya carbon, katika maeneo ya malisho kama njia ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.
Wanaharakati wa hali ya hewa nchini Misri wameandamana Jumanne wakitaka nchi za magharibi kuacha kufadhili miradi mipya ya gesi kwa Afrika
Mataifa ya Magharibi yametaka kuongeza nguvu zao kufuatia uvamizi wa Russia nchini Ukraine na miradi mipya ya gesi katika bara la Afrika. "Nchi za kaskazini mwa dunia zimekuwa zikinunua gesi barani Afrika kwa kutumia mgogoro wa nishati wa sasa, vita vya Ukraine na umaskini wa nishati barani Afrika
Benki kuu ya Kenya kuagiza taasisi za kifedha nchini kupunguza malipo kwa viwango vya mikopo kwa takriban watu milioni 4.2 kote nchini.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.