Radio
19:30 - 19:59
Jioni: Chama cha rais Biden kimeshinda viti vingi katika senate, mapigano makali kati ya M23 na wanajeshi wa serikali
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.