Radio
06:00 - 06:29
Historia yawekwa baada ya Qatar kushindwa kwenye mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia
Ecuador waliwashinda Qatar kwa mchuano wa kwanza kombe la dunia 2022, kwa mabao mawili kwa sufuri Jumapili, ambayo yalipachikwa na mshambuliaji mkongwe Enner Valencia, katika siku ambayo hafla ya ufunguzi rasmi wa mashindano hayo ya mwezi mmoja ilifanyika.
19:30 - 19:59
Mabasi mawili ya kubeba abiria yachomwa moto Afrika Kusini wakati wa maandamano ya wamiliki wa texi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29