Radio
16:30 - 16:59
Mivutano kati ya DRC na Rwanda yadhoofisha ari ya vijana kujihusisha na biashara
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:00
Kenya: Makamishna wawili wa IEBC wajiuzulu baada ya kusimamishwa kazi na Rais Ruto
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Wahanga wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa 2020 wapanga kuwasilisha mashtaka mahakamani ili haki itendeke na walipwe fidia
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.