Radio
16:30 - 17:00
Elon Musk anasema atajiuzulu kama mkurugenzi mtendaji wa Twitter mara atakapopata mtu mwenye sifa za kurithi nafasi hiyo
Elon Musk amesema Twitter itaruhusu tu akaunti zilizo na tiki ya bluu kupiga kura kuhusu mabadiliko ya sera baada ya asilimia 57.5 ya watumiaji kumpigia kura ya kuachia ngazi kama Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Twitter
19:30 - 19:59
Makamanda wa kijeshi wa pande zinazozozana Ethiopia wanakutana Kenya kwa mashauriano ya utekelezwaji Mkataba wa kudumu wa kusitisha uhasama
Mkutano wa siku tatu unaotajwa kuwa wa mashauriano unalenga kutathmini mafanikio yaliopo katika utekelezwaji kamili wa Mkataba wa Kudumu wa Kusitisha Uhasama wa Vita nchini Ethiopia uliotiwa saini Novemba 2 mjini Pretoria huko Afrika Kusini
21:00 - 21:29
Je, rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa atashinda mawimbi ya kisiasa yanayompiga kutokana na madai ya utakatishaji wa fedha?
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.