Radio
16:30 - 16:59
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amezindua tamasha la Nairobi Festival akiwahamasiha vijana kutumia fursa zilizopo kujiendeleza kiuchumi
Tamasha hili linalofanyika kwenye eneo la Uhuru Park linatangaza utamaduni wa Kenya kwa kuwashirikisha vijana katika sanaa, maonesho ya vyakula na kutoa fursa za vijana kutangaza vipaji vyao kupitia wadau mbali mbali wa ndani na nje wanaoshiriki tamasha hilo
19:30 - 19:59
Takribani viongozi 50 wa Afrika wapo mjini Washington DC kwa siku tatu kwa mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika.
Kulingana na White House mwenyeji wa mkutano Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuangazia uhamasishaji wa demokrasia na haki za binadamu, amani, uchumi, elimu ni miongoni mwa masuala makuu
21:00 - 21:29