Radio
16:30 - 16:59
Vijana washauriwa kutofanya starehe kupita kiasi hadi kujisahau, wakati wa siku kuu za mwisho wa mwaka
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 20:29
Krismas ni nini kwa dhehebu la wakristo na biblia inasemaje kuhusu siku hii?
Kanisa Katoliki na makanisa mengine ya Kikristo yanaendelea kusherehekea Krismasi hapo Disemba 25 kama siku ya kuzaliwa kwa Yesu. Siku hii pia ni kama fursa ya kushiriki na familia, marafiki na jamaa kwa kupeana zawadi pamoja na vyakula tofauti
21:00 - 21:29