Radio
16:30 - 16:59
Tanzania: Vijana wana nia ya kujishughulisha na kilimo lakini hawana uwezo wa kifedha
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
IMF imepitisha mkopo wa dola milioni 447 kwa Kenya baada ya kutathmini program zake za mikopo
Deni la umma la kenya lilikuwa limeanza kupungua kutokana na maendeleo ya kuchanganyisha pamoja sera zake za fedha, shirika la fedha la kimataifa (IMF) imesema katika taarifa yake na kuongeza kuwa imetenga fedha za ziada chini ya wizara iliyopo sasa nchini humo
21:00 - 21:29