Radio
16:30 - 17:00
Serikali ya Kenya imetangaza mipango ya kufuta shule za bweni katika shule za msingi kwa darasa la 1 hadi darasa la 9 kuanzia 2023
Katika hafla ya ufunguzi wa Chama cha Wakuu wa Shule za Msingi Kenya (KEPSHA) mjini Mombasa, Waziri wa Elimu Kelio Kipsang alisema mpango wa kusitisha bweni katika shule za msingi utaanza Januari 2023. Alisema uamuzi huo unalenga kuwasaidia watoto kukua chini ya uangalizi unaofaa wa wazazi wao
19:30 - 20:00
Viongozi wa upinzani Kenya wakiongozwa na Raila Odinga wameanza mikutano ya hadhara ya kisiasa dhidi ya utawala wa Rais William Ruto
Viongozi hao wanashtumu utawala wa Ruto kwa kushindwa kurejesha chini gharama ya juu ya maisha, kuwatimua kwa lazima makamishna wa tume ya uchaguzi, ukiukaji wa katiba katika uteuzi wa wasimamizi wa ofisi za umma pamoja na utekelezaji wa mfuko wa fedha usiokingika kisheria
21:00 - 21:29