Radio
16:30 - 17:00
Wapigakura jimbo la Georgia nchini Marekani wanapiga kura kumchagua Warnock au Walker kushikilia kiti cha Seneti kinachoangaziwa kwa makini
Upigaji kura wa marudio ni kati ya Seneta aliyepo madarakani wa chama cha Democratic Raphael Warnock na mpinzani wake anayeibuka kisiasa wa chama cha Republican Herschel Walker ambaye anaungwa mkono na Rais wa zamani Donald Trump
19:30 - 20:00
Makundi yanayopingana mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamekubaliana kuendelea na juhudi za kupatikana amani.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.