Radio
16:30 - 16:59
Mjadala Kenya baada ya gavana wa Nairobi kutaka baa na mikahawa kuondoka sehemu wanapoishi watu au kupunguza kelele
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
Utafiti wa Infotrak unaonesha Rais Ruto amepata matokeo duni ya ahadi za kiuchumi baada ya serikali yake kuondoa ruzuku kwa bidhaa msingi
Utafiti huo uliofanywa kati ya Disemba 21 na Disemba 22 mwaka huu unaonesha katika kipindi cha siku 100 madarakani Rais wa Kenya, William Ruto ameshindwa kufanya bei ya chakula kuwa nafuu na kupatikana kwa urahisi kwa raia wa Kenya