Radio
16:30 - 16:59
Tanzania: wanaharataki waomba itungwe sheria mahususi dhidi ya ukatili wa kijinsia
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
19:30 - 19:59
21:00 - 21:29
Waasi wa M23 wamekubali kuacha vita huku Marekani ikitishia kuwawekea vikwazo wanaovuruga mchakato wa demokrasia Sudan
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.