Radio
19:30 - 19:59
Mamilioni ya wamarekani wamelazimika kufutilia mbali mipango ya kusherehekea Krismasi kutokana na badridi kali na theluji nyingi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.