Radio
Tanzania: Ustawi wa jamii mkoani Mwanza watoa ushauri kuokoa watoto waathirika wa ukatili wa kijinsia
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Ramaphosa achaguliwa kukiongoza tena chama tawala cha Afrika Kusini(ANC)
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
UNFPA inatoa takwimu mbaya kuhusu ukeketaji ikionyesha takriban wanawake tisa kati ya kumi huko Somalia wamefanyiwa aina fulani ya ukeketaji
Ukeketaji wa wanawake (FGM) ni ukiukwaji wa haki za binadamu aina ya ukatili na ubaguzi dhidi ya wasichana na wanawake. Mara nyingi hufanyika kwa wasichana kati ya watoto wachanga na umri wa miaka 15 ingawa wanawake watu wazima pia hufanyiwa kulingana na UNFPA