Radio
19:30 - 20:30
Hakuna mgombea aliyepata kura 218 zinazohitajika kua spika wa baraza la wawakilishi la Marekani baada ya duru ya 12 za upigaji kura
Wabunge 435 wa Marekani wameanza mzunguko wa 12 kumchagua spika wa baraza la wawakilishi ambapo hakuna matumaini kwa Kevin McCarthy kupata ushindi licha ya kufanikiwa kuongeza kura chache kutoka kwa wapinzani wake
21:00 - 21:29