Wanaharakati wa haki za kibinadamu nchini Tanzania wamepongeza hatua ya mwandishi wa habari Lukman Maloto kuwashtaki mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) na mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP) kwa kushindwa kuchunguza shutuma za uhalifu uliofanywa na watu wasiojulikana.