Radio
IEBC Kenya imetangaza sheria ya usawa wa kijinsia kwa wagombea uchaguzi Agosti 2022
Vyama vina wakati mgumu kutimiza mahitaji ya usawa wa jinsia katika usajili wake wa wagombea wa nafasi tofauti za kisiasa katika uchaguzi mkuu baada ya IEBC kutangaza sheria inayohitaji jinsia moja kutokuwa na zaidi ya theluthi mbili ya viti vya bunge na nafasi nyingine za uteuzi ni sharti itimizwe
Rushwa ya ngono yatajwa bado tatizo vyuo vikuu na vyumba vya habari
Vitendo hivi vimetajwa kuwa bado vinaendelea katika vyumba vya habari na wanafunzi wa elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki hususan Tanzania lakini imekuwa ni siri kubwa kwa wanawake waofanyiwa vitendo hivyo kwani huwa hawatoi taarifa kwenye vyombo vya sheria.
Jukwaa la waandishi laangazia matayarisho ya mazishi ya Rais Mwai Kibaki
Waandishi kutoka maeneo mbalimbali wanamulika habari kuu za wiki na jinsi zilivyoripotiwa, zikiwa ni pamoja na kifo cha rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki, na mkutano kati ya waasi wa DRC na serikali ukiongozwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.