Radio
Kampuni ya Google itafungua kituo cha kwanza cha bidhaa barani Afrika mjini Nairobi, Kenya
Kampuni kubwa ya mtandaoni ya Google yenye makao yake Marekani imetangaza mwezi huu itafungua kituo chake cha kwanza cha kutengeneza bidhaa barani Afrika kitakachokuwa na makao yake katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Wadau wa elimu wataka hatua kuchukuliwa kuongeza ufaulu kwa wasichana Kenya
Matokeo ya kidato cha nne Kenya yaonyesha wasichana kuachwa nyuma ikilinganishwa na wavulana. Wasanii waeleza kwa nini hujiingiza katika kampeni za kiserekali na kisiasa jambo ambalo litakiwa kuangaliwa kwa umakini. Maoni yatolewa ili wasichana zaidi wajiingize katika tehama na kuongeza wataalamu.
Rais wa Kenyatta awataka waaasi wa DRC kuacha mapigano.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasihi waasi wa DRC wakiwemo M23 kuweka silaha chini kusimaisha mapigano. Rais wa Tanzania amerejea nyumbani baada ya ziara ya Marekani, na kuzindua filamu ya Royal Tour jijini Arusha. Wachina wa Afrika Kusini waendelea kuishi nchini humo na historia yao ndefu.