Radio
06:00 - 06:29
Wanahabari wa Tanzania wajivunia uhuru wa vyombo vya habari
Wakati tarehe 3 Mei ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, wahariri nchini Tanzania wanasema kuna mabadiliko makubwa katika kazi ya utangazaji habari chini ya utawala wa Rais Samia Suluhu, ikilinganishwa na enzi ya hayati John Pombe Magufuli.
19:30 - 19:59
Rais wa Tanzania awasihi viongozi wa Arika kushirikiana na wanahabari
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa Afrika kushirikiana na wanahabari. Mwenyekiti jukwaa la wahariri Tanzania asema uhuru wa vyombo vya habari umekuwa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita Afrika mashariki.
21:00 - 21:30