Radio
06:00 - 06:30
Vijana wa Kaskazini mwa Kenya waliokuwa majambazi wajiunga na mafunzo ya ufundi
Baadhi ya vijana kaskazini mwa Kenya wameachana na ujambazi na kutafuta njia mbadala za kujipatia riziki. Zaidi ya wanaume 500 kutoka jamii ya Wasamburu wanaojulikana kitamaduni kama morani, wamejiandikisha katika mafunzo ya ufundi, kama vile useramala.
19:30 - 20:00
21:00 - 21:29