Radio
19:30 - 20:00
WHO yasema hatua ya Russia kudhibiti bandari za Ukraine imesababisha kupanda kwa bei za bidhaa duniani kote
Shirika la chakula na kilimo ulimwenguni FAO limesema bei ya chakula duniani imebadilika kwa kiwango kikubwa lakini mwezi Machi ulishuhudia viwango vya juu zaidi vya kupanda kwa bei ya vyakula.