Radio
06:00 - 06:29
Kenya na Uganda wameanza mkakati wa pamoja wa kufufua kivutio cha utalii Afrika mashariki
Nchi hizo mbili zikiwa katika mkutano unaendelea jijini Nairobi nchini Kenya zimebainisha kuwa sekta ya utalii katika soko la Afrika Mashariki ni kubwa na ushirikiano kati ya nchi hizo ni muhimu ili kuimarisha utalii wao
16:30 - 16:59
Wamarekani wengi wasikitishwa na shambulizi lililopelekea vifo vya watu 20, wengi wao watoto
Mjadala mwingine mkali umeibuka tena nchini Marekani kuhusu sheria za kumiliki bunduki kufuatia shambulizi la risasi mjini Uvalde, Texas, ambapo mtu mwenye umri wa miaka 18 amewaua watoto 18 na watu wazima wawili.
19:30 - 19:59