Radio
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini kinaonya Afrika kujianda kwa ajili ya athari za vita vya Ukraine
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini amewaonya Waafrika kujianda kukabiliana na athari za uvamizi wa Russia nchini Ukraine. Mwenyekiti huyo wa chama cha Democratic Alliance John Steenhuisen alikamilisha ziara ya siku 6 ya kutathmini hali ilivyo nchini Ukraine jana Alhamisi.
Wadau wataka vijana kupewa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii
Kufuatia matumzi mabaya ya mitandao ya kijamii hususan kwa vijana, imeelezwa kwamba elimu ya matumizi sahihi ya mitandao hiyo inatakiwa kutolewa ikiwemo fursa zinazopatikana kwenye mitandao ikiwa ni pamoja na ajira na biashara.
Zaidi ya watu milioni 20 wa pembe ya Afrika wakabiliwa na uhaba mkubwa zaidi wa chakula kutokana na ukame
Katika majadiliano ya wiki, Livetalk, tunaangazia ripoti ya Umoja wa Mataifa inayoonyesha taswira ya kutia wasiwasi kuhusu hali ya ukame katika pembe ya Afrika huku Kenya, Ethiopia na Somalia zikiongoza kwa idadi ya watu walioathiriwa moja kwa moja.