Radio
16:30 - 16:59
Kijana Mtanzania aliyeuwawa Georgia uchunguzi bado unaendelea
Mtanzania aliyeuwawa huko Atlanta Ga, Rodgers Kyaruzi siku ya Jumatano ya Mei 4, 2022 alikuwa ni mmiliki wa tovuti maarufu ya flyheight.com na alikuwa akijihusisha na biashara za uuzaji wa nyumba.Uchunguzi unaendelea chini ya idara ya GBI.