Radio
06:00 - 06:30
21:00 - 21:29
KWA UNDANI: DRC imedai kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23. Rwanda inadai kwamba DRC inaunga mkono waasi wa FDLR
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.