Radio
06:00 - 06:29
Guterres ametembelea kambi ya Ouallam nchini Niger kukutana na watu waliokoseshwa makazi
Guterres alisafiri hadi kambi ya Ouallam nchini Niger katika siku ya nne ya ziara yake ya Afrika magharibi iliyocheleweshwa na mzozo wa Ukraine. Alikutana na darzeni kadhaa za watu waliokoseshwa makazi na wakimbizi kutoka Niger, Mali na Burkina Faso katika uwanja wa shule uliopo kwenye kambi hiyo
16:30 - 16:59
Rasimu iliyovuja kuhusu sheria ya utoaji mimba Marekani yaibua utata mkubwa
Rais wa Marekani Joe Bidenametoa wito kwa wapiga kura wa Marekani Jumanne kutetea haki ya msingi ya kutoa mimba baada ya rasimu iliyovuja iliyopendekeza Mahakama ya Juu iko tayari kufuta uamuzi wa muda mrefu wa kulinda haki ya mwanamke kutoa mimba.
21:00 - 21:29