Radio
06:00 - 06:30
19:30 - 20:00
Wawaniaji huru wa urais nchini Kenya walalamikia masharti makali kutoka tume ya uchaguzi.
Baadhi ya wagombea huru wanasema kwamba baadhi ya masharti kama vile kukusanya idadi fulani ya saini kutoka kwa wafuasi wao ni suala lisilowezekana , huku baadhi wakida kwamba tume ya IEBC ina njama ya kuwafungia nje ya uchaguzi wa Agosti 9. Kuna wale ambao tayari wametishia kwenda mahakamani.
21:00 - 21:30
Africa Mashariki yaadhimisha siku ya Malaria duniani kwa kutathmini hatua mbalimbali zilizopigwa
Leo Aprili 25, 2022 ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Malaria duniani, tunaangazia kwa undani zaidi hali ya ugonjwa huo katika ukanda wa maziwa makuu kwa kutathmini na kuzungumza na wataalam wa matibabu na wachambuzi mbalimbali.