Baadhi ya wagombea huru wanasema kwamba baadhi ya masharti kama vile kukusanya idadi fulani ya saini kutoka kwa wafuasi wao ni suala lisilowezekana , huku baadhi wakida kwamba tume ya IEBC ina njama ya kuwafungia nje ya uchaguzi wa Agosti 9. Kuna wale ambao tayari wametishia kwenda mahakamani.