Radio
06:00 - 06:30
Marekani imetangaza zawadi ya hadi dola milioni moja kwa mtu atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa wakenya wawili
Vyombo vya usalama Kenya vinawasaka Badru Abdul Aziz Saleh na Abdi Hussein Ahmed. Mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa jinai nchini Kenya, George Kinoti alisema raia hao wawili wa Kenya wanasakwa kwa usafirishaji haramu wa dawa na waanyamapori vitu vyote vina thamani ya mamilioni ya dola
16:30 - 16:59
Shirikisho la kitaifa la wamiliki wa bunduki la Marekani, NRA, kufanya mkutano wake wa kila mwaka mwishoni mwa wiki jimboni Texas.
NRA wanakutana siku chache baada ya mauaji ya bunduki ya watoto wa shule kwenye shule moja jimboni humo, licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati pamoja na baadhi ya wanasiasa, wakiitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa bunduki.
21:00 - 21:30