Radio
16:30 - 16:59
Wauguzi waenziwa siku moja baada ya maadhimisho rasmi ya Siku yao licha ya changamoto katika taaluma hiyo kuongezeka
Katika wiki ambayo duniani imeadhimisha Siku ya Wauguzi, hafla mbalimbali zimeendelea kufanyika huku wahudumu hao wa afya wakiendelea kuenziwa na kutuzwa kwa kazi yao nzuri, ambayo pia imeendelea kukabiliwa na changamoto chungu nzima
21:00 - 21:29
Jukwaa la wandishi laangazia kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa CHADEMA
Wanachama 19 waliokuwa wabunge wa viti maalumu CHADEMA wavuliwa ubunge. Ziara ya rais wa Tanzania, Samia Hassan nchini Uganda yawezesha mikataba mbalimbali kufikiwa. Waziri Matiang'i asema asilimia 40 ya wagombea Kenya ni wahalifu wa kutakatisha fedha.