Radio
Kenya: IEBC yasema haitawazuia watuhumiwa wa ufisadi kugombea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC, imesema kwamba haitawazuia watuhumiwa wa kashfa za ufisadi kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. IEBC inaeleza kuwa ni lazima mahakama iwakute washukiwa na hatia.
VOA EXPRESS: Rais wa Marekani Joe Biden anataka bunge kuchukua hatua kali kukabiliana na mashambulizi ya risasi
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
LIVE TALK: Visa vya watu walio katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa kupigana au hata mauaji kutokea
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.