Radio
06:00 - 06:28
Kenya yatuma wauguzi wake kufanya kazi Uingereza
Serikali ya Kenya imezindua mfumo wa kuwatuma wauguzi wake walioajiriwa kufanya kazi nchini Uingereza kufuatia makubaliano ya pande mbili kati yake na Uingereza yaliyotiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Julai mwaka jana.
16:30 - 16:59