Mkuu wa Baraza la Umoja wa mataifa la haki za binadamu Michelle Bachelet amesema atacha wadhifa wake kama Kamishna mkuu wakati muhula wake utakapokuwa umemalizika mwishoni mwa mwezi Agosti.
Taasisi ya Mtoto News yasaidia watoto nchini Kenya kutumia vyombo vya habari na mitandao kujikinga na unyanyasaji na dhulma dhidi yao.
Waziri wa Fedha wa Tanzania amewasilisha makadirio ya matumizi ya fedha za serikali bungeni akiZimia kutenga pesa za kugharamia miradi mbalimbali hukku mwenzake wa Uganda, akitenga Shilingi Trilioni 4 kwa seka ya usalama.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.